Zababu za kujiuzulu ni hizi hapa.
1. Aliteua bodi ya TANESCO yenye watu walio na kashfa nyingi. Hapa utamkuta Majaar wa Rex Attorneys, Gachuma na wengineo ambao wana historia ya kuwa na kashfa kadhaa katika shirika hili kipindi cha awamu ya nne.
2. Amesaini mikataba miwili mpaka sasa yenye...
Ndugu zangu Watanzania, bila shaka hamjambo. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nawasalimia!
Ndugu zangu nimekuwa nakwazwa sana na hili suala la kukatika kwa umeme kila wakati kama siyo kila siku. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu, na ningeomba mtu mwenye majibu...
Habari,
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma ya umeme muda huu.
"Maeneo yaliyoathirika ni Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Sinza, Ubungo,Bonyokwa, Kimara Baruti, Korogwe, King'ongo, Kimara...
Ni ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya uteuzi wa January Makamba kama Waziri wa Nishati.
Uteuzi wako ulifuatiwa na uamuzi wa wewe kuvunja...
Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana.
Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.
Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.
Sasa hivi...
Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.