Hii shida ya umeme kukatika imekua ni ugonjwa ambao hauna tiba kwasababu ndani ya siku 3 umeme unakatika mara kwa mara mchana na ndani ya siku tatu.
Kuna siku unakatika saa 12 jioni unarudishwa saa 5 au saa 6 sasa hili tatizo lina sababishwa na nini maana miaka inasonga na halifanyiwi kazi na...