Manyukikishompendo
Member
- Sep 13, 2024
- 18
- 7
Hii shida ya umeme kukatika imekua ni ugonjwa ambao hauna tiba kwasababu ndani ya siku 3 umeme unakatika mara kwa mara mchana na ndani ya siku tatu.
Kuna siku unakatika saa 12 jioni unarudishwa saa 5 au saa 6 sasa hili tatizo lina sababishwa na nini maana miaka inasonga na halifanyiwi kazi na ukizingatia huu ni mji wa kitalii kuna wageni wengi mno na kwanini lisichukuliwe hatua hili swala umeme unakatika kwa muda mrefu na inafikia wakati unasahau kabisa kama kuna umeme tunaomba wizara husika ilifanyie kazi hili swala.