umeme simiyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa?

    Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi ilifanyika katika eneo la Imalilo, eneo ambalo lilichaguliwa kituo kijengwe ni nje...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana

    Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba, kibaya zaidi hatuambiwi shida nini. Toka jana Jumamosi asubuhi mpaka leo saa tisa na robo Jumapili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…