umeshawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Umeshawahi kula ngwara?

    Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀 Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
  2. M

    Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place. Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli? Acheni...
  3. LA7

    Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  4. R-K-O

    Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

    Inaweza kutokea umeibiwa, umepata ushindani mkali, sheria za serikali zimeathiri unachofanya, umechezewa michezo michafu, umeumwa, n.k. Ukiwa na mshahara angalau unaweza kuugulia kwa wiki kadhaa mshahara ulioisha lakini una uhakika mwezi ujao upo hivyo ni wewe kujitafakari tu jinsi ya kula kwa...
  5. LA7

    Umeshawahi lala stendi bila kutarajia

    Hii kitu ni mbaya sana hasa kwa safari zetu za watu wa maisha ya chini, na mara nyingi hutokea kwa kupanda gari bovu, au gari kuharibika njiani, au kudanganywa na wakata tiketi, Kwa mara ya kwanza kabisa nilikuwa natokea singida naelekea kigoma kwa sababu za changamoto za usafiri kutoka...
  6. LA7

    umeshawahi kupimwa imani, au kujaribiwa na mtu

    umeshawahi kupimwa au kujaribiwa imani na mtu, kuna siku nimdenda zangu kununua earphone nilipo rudi jioni yake mdada wa kazi akaniomba asikilize radio, nikampa akabaki nazo mpaka kesho asubuhi, sasa kufika asubuhi nimeamka nafanya usafi akanifuata na kuniambia zile earphone alipitiwa na...
  7. LA7

    Umeshawahi kukosa huduma au msaada kwa kutokusalimia watu,

    nikiwa nimetokea zangu kigamboni nikafika ferry kutafuta magari ya gongo la mboto, sikuwa mzoefu sana yanaoopatikana, ikabidi nisogee kwenye daladala moja hivi iliyopaki ilikuwa ni mida ya mchana, ndani kulikuwa na dereva na kondakta wake, kufika nakauliza, eti gari za gongola mboto zinapaki...
  8. LA7

    Umewahi kusikia sauti za watu wakifanya mapenzi live?

    Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je? Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa ambae ni mkubwa kwangu alileta demu, Mimi ikabidi nijifanye nimelala usingizi ili nisiwaharibie watu...
  9. MIXOLOGIST

    Je umeshawahi kufanya wajibu wako kama mlimwengu?

    Wasalam wana JF Wahenga walisema: ASIYEFUNZWA NA WAZAZI WAKE ATAFUNZWA NA ULIMWENGU. Mimi na wewe ndiyo either wale wasiofunzwa na wazazi au ndiyo walimwengu wenyewe. Swali langu kwako, je umeshawahi timiza wajibu wako kama mlimwengu? Mimi nimetimiza wajibu huo mara nyingi kwa slay queens...
  10. Iziwari

    Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  11. Nyendo

    Je, umeshawahi kuwa mhanga wa ukatili wa kihisia kwa namna yoyote?

    Katika jamii tunayoishi kuna aina mbalimbali za ukatili ambao watu hutendewa na watu wengine eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya lakini athari ya ukatili huwa na matokeo mabaya kwa mtendewa. Zipo aina nyingi za ukatili kama ukatili wa kijinsia, ukatili wa kimwili, au ukatili wa kihisia...
  12. N

    SoC02 Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?

    picha kwa hisani ya mtandao(Google) Nani mnufaika wa machapisho yako? Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me). Yote yanaweza kuwa majibu...
  13. M

    Nini kilikutokea baada ya kujifanya mjuaji kwenye kitu usichokijua

    Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, umeshawahi kusikia kijiji cha Nyeregenge kilichopo Musoma?

    Nyeregenge ni kijiji kinachopatikana Musoma vijijini mkoani Mara. Kijiji hiki hakina shule, hakikuwa na msikiti wala kanisa, na kimepata kanisa lake la kwanza miaka ya hivi karibuni, 2017 ambapo Wakatoliki wamejenga kanisa. Kijiji hiki kina watu waliobobea kwenye mila na tamaduni ambapo hadi...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Umeshawahi kukutana na mtu aliyepandisha jini/ mwenye majini? Tupe uzoefu wako

    Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips. Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu. Basi...
  16. ryan riz

    Umewahi kuvielewa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania?

    Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
  17. Chizi Maarifa

    Umeshawahi panda/endesha gari ya Mkata Kimeo?

    Mwaka 1998 nlipanda gari ya jamaa yangu. Benz akanishawishi sana siku hiyo twende Morogoro na gari yake akaoneshe ndugu zake ana Mercedes Benz. Hapo kabla nlienda naye ila tulitumia gari yangu. Ile safari siwezi isahau...ilikuwa na kwikwi nyingi na chafya mfululizo gari kila baada ya muda...
  18. SEASON 5

    Umeshawahi kukosea meseji ya kwenda kwa mchepuko ikaenda kwa mpenzi wako/mke wako? Ulifanyaje?

    Umeshawahi kujikuta unatamani kuvunja simu au kupotea duniani kwa dk kadhaa ukirudi duniani ukute ilikua n ndoto si kweli? basi mimi ilishawahi nitokea siku 1 nilichepuka nikadakwa na mpenzi wangu tukaongea yakaisha nikamuomba msamaha akaelewa. Baada ya siku 1 tu ugomvi hata haujasahaulika...
  19. Mboka man

    Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

    Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi. Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha...
Back
Top Bottom