Utangulizi
Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania.
1. Kukosa haki...
Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo.
Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
Utangulizi.
Cheti cha umiliki wa ardhi.
Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani.
Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.
Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute...
Hawa China Tanzania Security ni kina nani wanalinda mwendokasi siku hizi?
Maana BRT ilikua security ni Suma JKT sasa hawa wametokea wapi na ni kina nani?
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA)
=====
October 8, 2021 by Global Publishers
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi wilayani Babati mkoani Manyara .
Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa Jana na hakimu wa mahakama hiyo,Kimario hadi September 28 mwaka...
Mahakama yabatilisha umiliki wa PAP, wakati ikisemekana PAP ndiye mmilikia wa IPTL na kufikia PAP kuiwekea dhamana mitambo yake sasa Mahakama imebatilisha umiliki uo.
Je, IPTL ni ya nani?
======
MAHAKAMA ya Rufaa imerudisha kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) chini ya...
Habari zenu ndugu zangu.
Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo.
Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya kunufaika kupitia mgongo wa kesi ya Mbowe. Wapo wanaotaka kutumia ujinga wa wanachama wao kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.