Ni chaguzi kuu 6 sasa zimefanyika hapa nchini tangu tupate Uhuru.
Ahadi kutoka vyama vyote kwenda kwa wananchi ni zilezile maji, barabara, elimu, na afya.
Kwa watumishi hawa ninaowafahamu Mimi kwa miaka 8 sasa wananchi hawatakuja kupata utoshelevu wa mahitaji ya elimu, maji, umeme, miundombinu...