umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. ChawaWaMama

    Tumjuze Rais Samia njia wanazotumia wateule kuiba hela za Umma

    Great thinkers, Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali. Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza...
  2. R

    Kwamba wabunge walipitisha bajeti ya kulisha Vura USA na Leo wanajifanya Wana uchungu na upotevu wa Fedha za umma? Stupid

    Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede. Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu. Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa...
  3. R

    Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

    Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI...
  4. Mystery

    Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  5. Tanzania Railways Corp

    Majaribio ya Mifumo ya SGR, Wananchi wanaokaa karibu na reli wapewa tahadhari

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA Dar es Salaam, Tarehe 05 Aprili 2023. Shirika la Reli Tanzania – TRC linautaarifu umma kuwa kwa kushirikiana na mkandarasi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR (Standard Gauge Railway)...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Watumishi wengi wa Umma huenda kazini kwa lengo la kupiga dili tu

    Habari! Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi. Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
  7. F

    Ushauri kwa Rais kuhusu mashirika ya kibiashara ya Umma

    Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo. Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
  8. K

    Mashirika ya Umma yanayohujumiwa yafutwe?

    Mimi nashauri kwamba serikali isiyoweza kusimamia vyema mali za Watanzania ndiyo inayotakiwa kufutwa. Maana yake ni kwamba hawa viongozi hawana uwezo wa kuwatumikia waTanzania kwa kuacha mali zao zipotee bure. Kuna sababu gani za wao kuendelea kuwa madarakani? Shirika ulilokabidhiwa...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Tuwafanyeje wanaofanya ubadhirifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania?

    Tufanye yafuatayo: Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni: Kuchukua hatua za kisheria: Serikali inaweza kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaobainika kufanya ubadhilifu wa fedha...
  10. Mystery

    Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  11. N

    Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
  12. MIXOLOGIST

    Wizi wa mali za Umma ni reflection ya jamii ya watu wasiostaarabika

    Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma. Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo. Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika. Vipo viashiria vingi...
  13. airmax

    Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
  14. Miss Zomboko

    Ujerumani yatikiswa na mgomo mkubwa wa usafiri wa Umma

    Mamilioni ya wasafiri nchini Ujerumani leo Jumatatu wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri baada ya kushuhudiwa kwa mgomo katika sekta ya uchukuzi. Viwanja vya ndege,vituo vya mabasi na treni njia za majini kote nchini vinatazamiwa kuwa vitupu kufuatia mgomo huo unaotajwa kuwa mkubwa...
  15. B

    Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  16. JanguKamaJangu

    Zimbabwe: Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara kwa 100%

    Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%. Inamaanisha kuwa bei katika maduka imepanda kwa karibu kiwango sawa na nyongeza ya mishahara. Ongezeko la mshahara limeanza...
  17. Patriot

    Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

    Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu...
  18. Titho Philemon

    Siasa safi itatokana na uzalendo wa kitaifa wa wanachama na siyo matakwa ya wenye Chama

    Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari. Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna kile walichokimis ambacho kimsingi kwa sasa wanapaswa kukitarajia. Hii hali ni hatari katika siasa...
  19. masopakyindi

    Prof. Mbarawa usidanganye Umma juu ya mikataba ya ujenzi

    Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi. Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge. Ati kuna Fixed Price Contracts na Contracts zenye variations. Prof Mbarawa si mhandisi wa Ujenzi wala kisomo...
Back
Top Bottom