Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
Umoja wa Afrika (AU) umeeleza kuwa una “wasiwasi mkubwa” kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na hatua ya kukamatwa kwa Rais Nicolás Maduro na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump.
Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, AU ilisisitiza kuwa inaendelea kushikilia kwa...