🤣🤣🤣Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
View attachment 3550010
Wazee wa matamko.Huu umoja ufutwe hauna faida na Africa.
Wako sharp sana kudandia ugomvi wa nje ya Africa lakini hapo Sudan na DRC watu wanauana kila siku na hamna cha maana wanafanya zaido ya kuvaa suti
Hawa Wana faida gani Africa na duniani kote ?Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
View attachment 3550010
Kwa watu wenye akili timamu huwezi kuruhusu kichaa ashile silaha hata siku mojaWhy Marekani anamiliki Silaha ya nuclear huku akiwazuia wengine kumiliki hii ina maana Gani,pia kwa nchi ndogo kieneo kama Israel inamiliki hivyo Silaha?