umoja wa mabunge duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
  2. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani waipongeza Tanzania kwa kuweka kipaumbele Afya kwa Wajawazito na Watoto

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU Dkt. Tulia Ackson amempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uongozi wake shupavu katika kusimamia na kuyapa kipaumbele masuala ya afya kwa wajawazito na watoto wanaozaliwa Tanzania. Vilevile, Dkt. TULIA alieleza kwamba Afrika inapoendelea...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Mkutano wa umoja wa Mabunge duniani (IPU) jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani. Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Upi msimamo wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu sakata la Tanzania?

    Wakuu. Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…