PostGE2025 Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Mkutano wa umoja wa Mabunge duniani (IPU) jijini Arusha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani.

Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya mkutano huo baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA. Amos Makalla leo Disemba 4, 2025, kuupokea na kuzungumza na Ujumbe wa Umoja wa Mabunge duniani (IPU) ulioongozwa na Balozi Ande Filip, akiongozana na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi Dkt. Hoyce Temu.

CPA. Makalla amefafanua kuwa Mkutano huo ni fursa kwa Wananchi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla na ukija wakati mzuri katika kudhihirisha amani, usalama na utulivu uliopo nchini na kuaminika kwa Tanzania Kimataifa, akiwataka wananchi kujiandaa kutumia fursa za ujio wa mkutano huo kiuchumi

1764853424848.png
 
Utahamiahwa nchi nyingine kwa sabahu ya uuaji uliofanyika
 
Huu ni upumbavu... watu wenye account huko instagram wanashindwa kuflood hizo page zao. Sababu wao kuja kufanya kitu chao hapa ni kusupport uovu
 
Bunge = demokrasia,Samia = mauaji

Nitakuwa wa mwisho kuamini huu upuuzi ikiwa huyu butcher woman atahutubia hilo bunge

Uwezekano ni 0.0001%
 
IMG_8084.jpeg

Anaenda na kusalimia wale vijana wa Makonda (kile kikundi chao jina limenitoka. Boss wao kama boss akipiga pozi.
 
Back
Top Bottom