umoja wa ulaya (eu)

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Milioni 156 za umoja wa ulaya (EU) zilivyowaumbua maria na genge lake baada ya kuiombea mabaya Tanzania

    Na Mwandishi Wetu Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kufadhili miradi yenye thamani ya euro milioni 156 unaipa Tanzania fursa ya kuendeleza vipaumbele vyake vya maendeleo, huku ukisisitiza umuhimu wa kuendeleza baina ya Tanzania na EU kwa kuzingatia maslahi mapana ya wananchi wake Vitu vya msingi...
  2. JamiiForums Tanzania UMOJA WA ULAYA (EU) WAIDHINISHA TSH. BILIONI 461 KWA TANZANIA

    Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) kurejesha Msaada wa Euro Milioni 156 waliouzuia kutokana maandamano ya Oktoba 29

    Umoja wa Ulaya (EU) umerejesha ufikiaji wa msaada wa maendeleo wa Euro milioni 156 (takribani shilingi bilioni 461 za Kitanzania) kwa ajili ya Tanzania. Msaada huu ulikuwa umecheleweshwa kuidhinishwa kwa mpango wake wa mwaka 2025 kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Baadaya kukataa kambi zake zisitumike kuishambulia Iran, Trump amejibu kwa kusitisha shughuli zote za Kibiashara na Uhispania

    Leo tarehe 3 Machi, 2026, wakati ulimwengu unatikiswa na vita inayoyoelendela mashariki ya kati, kwa upande wa Ulaya na washirika wa NATO wamejikuta na mtikisiko mwengine, hii ni baada ya uamuzi mzito kutoka Ikulu ya Marekani (White House). Rais Donald Trump ametangaza rasmi kusitisha mahusiano...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu Azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Kuhusu Tanzania na Mapendekezo Yao

    ๐—ง๐—”๐—”๐—ฅ๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—”๐—•๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—”๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ถ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐—จ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—จ๐—น๐—ฎ๐˜†๐—ฎ (๐—˜๐—จ) ๐—ž๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐˜‡๐˜‚๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐— ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—™๐—ฒ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ ๐—จ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ. ================ THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND EAST AFRICAN COOPERATION TAARIFA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ