umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  2. Salva Kiir Aomba Utulivu Kufuatia Shambulizi Dhidi ya Helikopta ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa. Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sudan Kusini (UNMISS) watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya helikopta ya Umoja...
  3. Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  4. Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  5. Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
  6. Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
  7. Spika Tulia Ackson alivyofungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu taarifa za utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) na...
  8. Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
  9. Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

    Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini. Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
  10. Miaka 48 ya CCM, Umoja wetu, Nguvu yetu

    Hakika ni Umoja wetu; Ndio Unafikisha Chama Kikubwa Zaidi Afrika; Chama Chenye Wafuasi zaidi ya Milioni 12 ; Chama Imara ; Chama Madhubuti Katika kusheherekea Miaka 48 Tangu kuzaliwa kwake Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika...
  11. Tetesi: Kinshasa yatuma hati ya kumpinga Umoja wa Afrika (AU) baada ya mazungumzo kuhusu M23

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
  12. T

    Kazi muhimu ya Tundu Lissu ni kujenga Umoja na mshikamano ndani ya Chadema. Nini kifanyike?

    Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo: 1. Kushughulikia saikolojia ya kushindwa na kushinda kwa wanachama kwa kuonyesha wazi kuwa ushindi ni wa chadema yote na yeye Lissu ni...
  13. Tetesi: Umoja wa Ulaya kumtakia kila lililo la kheri Lissu

    Za ndani kabisa, Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini, amempigia simu Tundu Lissu na amemtakia kila lililo la kheri kwenye Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama keshokutwa.
  14. Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  15. Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" kuchukuliwa Greenland na Marekani

    Wanaukumbi UST IN: 🇪🇺🇺🇲 European Union is angry and will "not tolerate" a takeover of Greenland by the United States: France warned Trump against threatening the bloc's "sovereign borders" — Telegraph =============== 🇪🇺🇺🇲 Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" unyakuzi wa Greenland na...
  16. Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  17. Tuzitunze Tunu za Upendo, Umoja na Amani: Bashungwa

    TUZITUNZE TUNU ZA UPENDO, UMOJA NA AMANI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuishi kwa kutunza tunu za upendo, umoja, amani na kufanya matendo ya huruma. Bashungwa ameeleza hayo wakati alipoungana na waumini wa Kanisa Katoliki...
  18. H

    Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  19. Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

    Barua hii hapa chadema wafungiwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika USSR
  20. S

    Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…