Salaam Wakuu,
Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama.
Wafuasi wengi wa Umoja Party wanadai Rais Samia hafanyi kazi kama Magufuli, na Watu Magufuli aliowaamin kama...