umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Marekani Yapongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

    17 September 2021 Unguja, Zanzibar Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amekutana na Mh. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Donald Wright na kufanya mazungumzo...
  2. Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23 Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya...
  3. A

    SoC01 Umoja ni maendeleo tujifunze kupitia hapa

    Habari ndugu msomaji wa andiko langu la leo ijumaa 17 september 2021 litaangazia maendeleo yetu katika jamii na taifa kwa ujumla naomba ungana na Mimi tushere wote hizi pointi MAENDELEO NI NINI maendeleo ni hali ya mabadiliko chanya kutoka sehemu moja kwenda sehemu bora zaidi mwalimu Nyerere...
  4. Umoja wa mabilionea tumefedheheshwa na kilichofanywa na mwenzetu Mo Dewji

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... Ninaandika kwa huzuni kwa niaba ya mabilionea wenzangu kina Azam, GSM, Vunjabei, Platnumz, Shishibaby, Bill Nas, na wengine ambao hawapendi kutajwa kama Soggy Doggy Anter. Ni kuhusu vitendo vya kipuuzi vinavyofanywa na bilionea mwenzetu kwa jina la...
  5. R

    SoC01 Maendeleo bila Umoja ni Umaskini

    MAENDELEO BILA UMOJA NI UMASKINI Tanzania kama taifa tuliongoza harakati nyingi sana za kiukombozi hasa katika nchi nyingi zilizoko kusini mwa frika. Umaarufu wetu ulitokana na umoja wetu katika kuhakikisha kwamba, wale wote tuliowatangulia kupata uhuru nao wanakuwa huru angarau hata kwa uhuru...
  6. N

    Siasa za awamu ya 5 na ya 6 zinaelekea kudidimiza umoja wa Taifa letu

    Chama changu Tawala hujinadi kukuza umoja wa Kitaifa lakini kwa awamu hizi mbili ninaona umoja huo unazidi kudidimia. Chama change kinajuhami kupita kiasi hata kwa kuumiza wengine. Hivi ni kweli kabisa tunajaribu kuwaaminisha watu kuwa Mbowe ni Gaidi! INAUMIZA SANA, pamoja na UCCM wangu. Hivi...
  7. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua Vijana Jogging Club

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua VIJANA JOGGING CLUB. VIJANA JOGGING CLUB. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi unapenda kuwaalika Vijana wote wa Tanzania katika Uzinduzi wa “Vijana Jogging Club” utakaofanyika tarehe 31 Julai 2021 kuanzia Nyerere...
  8. Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli

    Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli. Sheria 12 za ulimwengu zinafikiriwa kuwa sheria za ndani, zisizobadilika za ulimwengu wetu ambazo tamaduni za zamani zimekuwa zikijulikana kila...
  9. P

    Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

    Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
  10. Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

    Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu! Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali. Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda...
  11. Umoja ni nguvu: Wapinzani nchi hii bila kuungana wasahau kushika Dola

    Friends and Enemies, Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa, Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa. Ni ukweli ulio...
  12. Q

    Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

    Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar. Muda: Saa tano kamili asubuhi Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam. ====== UPDATES; Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…