Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amepongeza hatua ya kihistoria iliyochukuliwa na viongozi wa vyama vya CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, kwa kuamua kuweka tofauti zao za kiitikadi pembeni na kuungana katika kampeni za...