Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia.
Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama...