Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.
Februari 6 kila mwaka, dunia nzima huadhimisha siku ya kupinga Ukeketaji wa wanawake baada ya Baraza la Umoja wa Mataifa kuipitisha mnamo mwaka 2003.
Je, ukeketaji ni nini?
Ni kitendo cha kukata na kuondoa sehemu ya nje ya viungo vya uzazi wa mwanamke haswa kinembe.
Kitendo hiki hufanyika na...
Ukifuatilia taarifa nyingi watu wengi wenye umri mkubwa naskia tu Moshi, wengi wao hujulikana baada ya kufa.
Ajuza afariki Moshi akiwa na miaka 106 | Mwananchi
Je mikoa mingine hautangazwi au hakuna wenye umri huo? Baada ya kufa wanafanyiwa sherehe.
Milardayo, BBC Swahili na gazeti la...
Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana.
Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
Makala haya mafupi yanaletwa kwenu na mwaandishi wenu Orkipirie lenaiterru kopp.
Ndoa za utotoni au katika umri mdogo ni pale ambapo msichana au mvulana wanapoingia katika ndoa wakiwa katika umri mdogo sana chini ya miaka 18.kwani umri mdogo huanzia 0-17miaka watoto ambao wapo katika umri huo...
Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha.
Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese...
Habari Tanzania!
Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo;
1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa.
2...
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri
Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?
Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,
Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi...
Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile
siku hizi uko wapi?
Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea?
Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi?
Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.