Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya:
"Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye...
SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA
Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.
"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri
"Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.
Hii...
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
.
Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala.
Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji?
Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa...
Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki.
Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu kutoka huko kwenye mifumo ya kijamii ambayo haiwapi uhuru wa kumjua Mungu wa Kweli na Mafundisho...
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo
Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha...
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu.
Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza na kuwazidi nguvu.
Kwenye biblia ule mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi ni serikali...
Kabla sija anza kutoa unabii wangu najua WaPo watu watakao kuja na hoja kwamba Shillah hana vigezo Kwa kuitwa Nabii and blah blah blah .
Kama ulikuwa kwenye kundi la watu wanao fikiri kwamba Nabii Shillah hastahili kuitwa Nabii basi inawezekana wewe hujaisoma Biblia vizuri.
Ungekuwa umeisoma...
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:
1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."
2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu."
3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."
4. "Dada aliyetoa taarifa za...
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana!
Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua...
Mimi kama mwanainchi nimesikitishwa sana na moja ya unabii wa kijana anayejiita Nabii shilla!
Katika sehemu ya unabii wake akiwa madhabahuni Nabii huyo anasikika akimtabilia mtu mmoja (muumini wake) kuhusu namna alivyofukuzwa kazi katika jeshi la polisi huko Moshi.
Ukimsikiliza vyema nabii...
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.