Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya uchuro unaofanywa na watu wanaojiita manabii katika Nchi ya Tanzania. Bila shaka nimefuatilia uchuro mwingi sana jambo ambalo nimeona siyo vyema kuacha kuandika ili kama wapo humu waelewe tumeshawagundua na jambo la msingi zaidi waache uchuro ili...