Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Kuna yule jamaa yako, yeye anakupigia simu tu anapohitaji pesa, ukiona simu yake tu, unajiambia “anahiji pesa”, usipompatia anakasirika. Anakulalamikia sana. Yeye anajua una pesa na utampa. UNAFANYAJE na mtu huyu?
Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material...
Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya mazingira yangu ya utafutaji nakaa sehemu kwa muda mfupi baadae naenda eneo jingine nikiridishe kwenye...
Habarini wanajamvi,
Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo.
Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
BAHATI HAKUWA MKE WANGU NI MKE WA KAKAYETU MMOJA MAJUZI KATI NILIENDA KUPUMZIKA LODGE MOJA SINZA
NIKIWA NATOKA GAFLA NIKAONA NA YEYE KATANGULIZWA MBELE NA JAMAA AKAPANDA CRUISER MOJA MATATAA
TULIPOANGALIANA TULIPEANA TU SMILEFACE
NKAWAZA SANAA WAKEZETU HAWAA MMMH..MUMEWE N DEREVA WA...
Kuna mazingira kama haya, umekopa pesa kwa mtu uizungushe ikaferi, matarajio ulipe Kodi, mama mwenye nyumba ulishamuahidi MWEZI WA 10 tarehe 18 unampatia pesa yake leo tarehe 2. Aiseeee na ingebidi MWEZI uliopota umalize deni.
Maokoto zero kula kwenyewe kumekuwa kwa tabu saaana, kulala njaa...
Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi.
Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani.
Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki.
Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
VTS ni mfumo wa kisatelaiti wa ufuatiliaji mwenendo wa magari barabarani. Mfumo huu unafanana sana na ile mifumo ambayo wengi wameizoea kama Car track au U-truck.
Mfumo huu kwa sasa unatumika hapa Tanzania chini ya usimamizi wa LATRA. Kwa kuanzia mabasi 100 ya njia ya kati Dar-Mwanza, Kahama...
Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
Wakuu vipi nimekuwa nikitengeneza video zangu kwenye pc sasa nataka kuweka youtube je nitapataje copyright ili kuzuia watu kucopy na kupaste.
Ukinijuza fanya mimi ni kama mwenye 0 yani sina ujuzi wowote kuhusu copyright kwa anayejua tafadhali sana nijulishe ahsante
Wana jamvi habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unapokuwa na mpenzi akakuzingua huwa unafanya nini kama mmefikia ile point ya kila mtu afe kivyake. Binafsi huwa napiga buyu tu mdogo mdogo namsahau ila imekuwa tofauti kwa huyu binti. Kila nikitaka kuachana naye nashindwa kabisa...
Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya...
Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na kufurahi na mwenzangu ni kama si yeye aliyenikwaza,ila kama sijafanya ivo ujue siku hiyo nimeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.