Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali...
Mathalani fikiria hii situation umeajiriwa mahali ila boss wako machoni anacheka na wewe fresh kabisa na hakuonyeshi ubaya wowote ule ila under carpet anakusnichi. Fikiria mazingira yafuatayo.
1. Hakupendekezi kwenye Jambo lolote lenye maslahi na akikupendekeza anakupa vitu vidogovidogo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.