Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.
Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.
Nimenotice kitu cha kushangaza sana, kwa hii...