Nchi gani ina unafuu wa maisha katika umoja wa nchi za ulaya? Tanzania sio nchi tena bali ni kituko

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko tupo kama kondoo wa miaka 1200’s BC

Nchi ina upuuzi mwingi nikianza kuandika ntatumia mwaka mzima.

Naombeni kwa mwenye uzoefu kidogo na nchi za ulaya naitaji kuhamia uko kwa muda.

CCM KUWENI NA HOFU YA MUNGU.!!
 
World politics are changing... Right wings are taking over and they hate people migrating to their nations especially africans
 
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko tupo kama kondoo wa miaka 1200’s BC

Nchi ina upuuzi mwingi nikianza kuandika ntatumia mwaka mzima.

Naombeni kwa mwenye uzoefu kidogo na nchi za ulaya naitaji kuhamia uko kwa muda.

CCM KUWENI NA HOFU YA MUNGU.!!
Burundi mkuu.Waziri mkubwa mhishimiwa Madelu alitushauri.
 
Bora kuwa kondoo ulaya kuliko kuwa mwana wa Adam huko Africa, alisikika mtu mmoja akiwa amelewa kileo kinachoitwa uhuru hivyo anataka kileo cha ulaya achungwe kama k9ndoo.
 
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko tupo kama kondoo wa miaka 1200’s BC

Nchi ina upuuzi mwingi nikianza kuandika ntatumia mwaka mzima.

Naombeni kwa mwenye uzoefu kidogo na nchi za ulaya naitaji kuhamia uko kwa muda.

CCM KUWENI NA HOFU YA MUNGU.!!
Burundi nchi tamu sana
 
Wanawake wapo ila ni gharama atakwambia umgharamie mahitaji yake kodi ya nyumba tu peke yake ni Dola 2000 kwa mwezi kule hakuna wanawake wa kukupa show kwa elfu 30 utamudu?
Ntaitaji tu 1 bedroom apartment, nyumba nzima yanini mkuu. Kuhusu show wazungu nishaishi nao sana najua codes zao
 
Burundi nchi tamu sana
Staki nchi yoyote ya Africa, labda Egypt au Morocco maana nshakutana na raia wengi wa izo nchi wako peace sana hata raia wa nchi zingine kama ulaya wanakusifia sana ila bado naona Ulaya is the best option
 
Back
Top Bottom