Nchi gani ina unafuu wa maisha katika umoja wa nchi za ulaya? Tanzania sio nchi tena bali ni kituko

Nchi gani ina unafuu wa maisha katika umoja wa nchi za ulaya? Tanzania sio nchi tena bali ni kituko

Ntaitaji tu 1 bedroom apartment, nyumba nzima yanini mkuu. Kuhusu show wazungu nishaishi nao sana najua codes

Ntaitaji tu 1 bedroom apartment, nyumba nzima yanini mkuu. Kuhusu show wazungu nishaishi nao sana najua codes zao
1 bedroom inacheza kati ya 1000-1500 Dollars.
Na bado ukishamgharamia hana huruma na wewe ukizingua ishu ndogo tu unapelekwa mahakamani hakuna mambo ya kumaliza kwa kuyajenga
 
1 bedroom inacheza kati ya 1000-1500 Dollars.
Na bado ukishamgharamia hana huruma na wewe ukizingua ishu ndogo tu unapelekwa mahakamani hakuna mambo ya kumaliza kwa kuyajenga
1000$ ni reasonable. Ndo nayolipia karibia mwaka sasa apa apa Bongo japo ni 2 bedroom apartment umeme, maji na usafi pembeni.

Norway na Denmark vipi ?
 
1000$ reasonable. Ndo nayolipia karibia mwaka sasa apapa Bongo japo ni 2 bedroom apartment umeme, maji na usafi pembeni.

Norway na Denmark vipi ?
Sasa kama una uwezo wa kulipia 1000$ Ulaya unafuata nini.
Ulaya huwa wanakwenda watu ambao Bongo mambo yamefeli hawana dira ndio wanatafuta njia mbadala wewe kama una mishe ya kukuingizia zaidi ya Dola 1000 bongo huna sababu ya kwenda ulaya labda kama unaenda kama tourist hapo sawa
 
Duh, mkuu kwan kichwa cha habari hujasoma. Hii Bongo sio nchi tena ya kuishi binadamu
 
1000$ ni reasonable. Ndo nayolipia karibia mwaka sasa apa apa Bongo japo ni 2 bedroom apartment umeme, maji na usafi pembeni.

Norway na Denmark vipi ?
kama hivi ni kweli bongo inakushindaje, au unamuunga mkono lissu waziwazi?
 
Kwann abaki
Wenzenu serikali zao zinasimamia family's za wananchi wake vizuri, kiasi ya kwamba kama mzazi umeshindwa kuwatimizia mahitaji muhimu ya watoto, serikali inakupokonya watoto na kuwalea.

Huko bongo Land Madereva wa malori wanazaa kili mkoa ,, boda boda nao usiseme.
Watoto hawamjui hata baba .

Matokeo yake mslzigo mkubwa unauiangukia serikali kila mwaka kujenga madarasa , , vituo vya Afya, wananchi wenyewe wanaolipa Kodi hawafiki 3%
 
Back
Top Bottom