unafuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  2. britanicca

    Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kuchelewa Kuoa hakukufanyi ufanikiwe au uwe na unafuu wa Maisha

    KUCHELEWA KUOA HAKUKUFANYI UFANIKIWE AU UWE NA UNAFUU WA MAISHA! Anaandika Robert Heriel. Kwa kijana isipungue miaka 25 wala isizidi 33. OA mapema. Usikawie. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama Familia yako. Wewe, Mkeo na watoto. Chelewa kupata yote usichelewe kuoa au kuolewa. Lazima...
  4. sky soldier

    Nini kilicho nyuma ya ma-producer wa Bongo kutokea kwenye familia za kishua/zenye unafuu kiuchumi?

    Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
  5. mugah di matheo

    Uchambuzi: Kurejea kwa Chama na unafuu kwa Bocco huku Mugalu akiumia zaidi

    Sheria ya NBC Premier League ni kuwa kutatumika wachezaji 8 wa kigeni katika mchezo moja. Ndani ya Simba tunatarajia wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza 11st ni Inonga, Onyango, Kanute, Bwalya, Chama Sakho na Kagere Huku wazawa wakiwa ni Manula, Kapombe, Tshabalala, Mkude Ni wazi...
  6. EINSTEIN112

    Serikali kuagiza mafuta moja kwa moja kutoka kwa mzalishaji kutaleta unafuu wa bei?

    Habarini za asubuhi wadau, Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Nikajiuliza inamaana miaka yoote hii tunapigwa na watu-kati Serikali haikuona? Je, hapa sio kwamba kuna wajanja...
Back
Top Bottom