Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!.
Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!.
Binafsi...
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda...
Mimi napenda kunawa mikono kwa sabuni nikifika tu nyumbani kutoka kwenye mishemishe. Sijui ilianzia wapi ila it came automatically na imeshakuwa sehemu ya maisha yangu. Wewe je?
"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia...
Salaam
Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi 😅😅😅
Katika kumi na nane za kula apple 🍎 kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni worldwide).
Binafsi yangu nawapenda polisi yaani askari wakike huwa wananitoa udenda vibaya mno, kuna wanao...
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki!
1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa hutajua maamuzi dereva wa gari anayotaka kufanya. Gari inaweza kupinda kushoto au Kulia bila...
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari
Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana kupitia "Video Conference". Na endapo utapata muda wa kututembelea basi utapata one-on-one Consultation.
Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
Kitu cha kwanza kitakachokupa nguvu katika dunia hii ni elimu. Utake usitake elimu ina nguvu kuliko kitu chochote kwenye hii dunia. Kwa nini Mafreemason na Illuminat wanaitawala hii dunia? Ni kwa sababu wamesoma sana. Wanajua mambo mengi mno.
Ukikutana na Freemason mwenye digrii 33 na akaanza...
Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot)
File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki?
Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.