unapenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohammed wa 5

    Unapenda kuweka Nini kwenye simu yako Ringtones/Vibration

    Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF. Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu. Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za iPhone,nokia,samsung.ila Kama unatumia Tecno,infinix,itel, vivo nk ringtone zao zinakuwa ni mbaya Yani Kama...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, unapenda mwanamke wako awe na kipi kati ya hivi?

    Huku kuna dimples kule kuna diastema ukipenda uite mwanya kazi ni kwako
  3. NetMaster

    Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je unapenda chips? Mjue George Speck mgunduzi wa chips

    UNAAMBIWA: Chips za viazi zilianza kutengenezwa rasmi Mwaka 1853 baada ya Mmarekani mweusi George Speck maarufu Crum (Mpishi) kupata hasira kisa Wateja wake kumlaumu kuwa anawawekea viazi vyenye mapande makubwamakubwa. Alipoona Wateja wanamkera akaamua kuwakomoa kwa kukata vipande vidogovidogo...
  5. GENTAMYCINE

    Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  6. A

    Kama unapenda maswala ya aviation, na hujawahi au huifahamu ndege vizuri pitia hapa

    Huyu mdada Yuko njema sana nilikuwa napita pita YouTube nikaona vids zake Piloti Bambi Inaonesha Ana ulewa sana na hayo maswala kakulia huko, check it out hizo vid utaziona kwa ukaribu Helicopter pia
  7. M

    Unapenda watoto wako wawe na uwezo gani darasani?

    Wazazi wengi wanaumia sana kuona watoto wao hawafanyi vizuri darasani, lakini mbona huku mtaani wakali darasani ni vilaza tunakutana pamoja kwenye kutafuta cash, na mara nyingi tunazidiwa na wale vilaza. Mimi napenda mtoto awe na uwezo wa kati darasani ili awe na muda wa kujifunza vingi kuliko...
  8. Hamza Nsiha

    Je, ni vitu gani ambavyo umezoea na unajua kuwa ni hatari kwa afya yako?

    Ni dhahiri kuwa kuna vitu vingi ambavyo watu wengi huwa tunapenda kuvipuuzia lakina ki_uhalisia ni vitu vyenye kuleta athari kubwa katika afya zetu. Baadhi ya vitu hivyo ni kama vile: Kukata matunda, na kuyaacha kwa muda fulani. Nadhani umewahi kukutana na sehemu ambazo wanauza matunda yakiwa...
  9. Allen Kilewella

    Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

    Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
  10. Surya

    Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

    Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika.. by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana.. unawakaaaa yani. simu ina bando hadi la hakiba.. Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2...
  11. GENTAMYCINE

    James Rocky Mwakibinga unapenda Siasa, ila Siasa haikutaki na una Nuksi za Chaguzi kila unakoenda

    Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro. James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au...
  12. Boss la DP World

    Unapenda papuchi kama mimi? Toa lifti kwa pisi kali, hii njia ni hatari sana

    Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa. Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
  13. Expensive life

    Mimi napenda nyama wewe unapenda nini?

    Aiseeeh mimi ugonjwa wangu kwa hawa wanawake ni nyama, yaani nikiuona tu mzigo mimi hoi.
  14. JanguKamaJangu

    Je, unasumbuliwa na Kisukari na unapenda kujitibu mwenyewe kwa lishe? Majibu haya hapa...

    Salama wadau, nimekutana sehemu na hili andiko la ndugu yetu, nadhani linaweza kusaidia jamii, wale wenye Kisukari na ambao hawana kwa lengo la kujilinda -------------------- JE UNASUMBULIWA NA KISUKARI NA UNAPENDA KUJITIBU MWENYEWE KWA LISHE? Katika miaka ya karibu kumekuwa na ongezeko kubwa...
  15. KAGAMEE

    Kama unapenda timu usiyoipenda isishinde mechi fanya hivi...

    Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka. Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi...
  16. Mia saba

    Unapenda nini kwenye music?

    a. Lyrics b. Instrument's c. Beats Mimi instrument + beat tamu lain hunifanya nioze mazima kwenye music Mfano wa nyimbo zinazonimalizaga Bryan adams - everything I do* Harmonize - one question Enrique - hero Heart - alone Ken G - forever in love Maher zain - forgive me Marco hendez - if ur...
  17. donlucchese

    Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

    Salam wakuu, Straight to the point. Kuna jamaa yangu anaitwa bwana X, huyu mwamba anatabia zote za kihuni unazozifahamu. Dazi,tungi, ma tattoo hereni sijui takataka zote na tabia kwa ujumla ni mshenzi pro max. Ana muonekano au haiba ya kuvutia kiukweli msela ila tatizo kubwa mwana uhuni...
  18. Zacht

    Kitu gani ulikiwa unapenda kufanya utotoni lakini ulikosa uhuru kwa wazazi?

    Hello! Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia. wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana muvi hadi nasahau muda kula yaani nilikuwa nikienda asubuh basi kurudi jioni ,nikirudi home nachezea...
  19. Kasomi

    Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

    Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi. Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone 13. Yaani unakuwa unaona aibu hata kuitoa. Unakuta kabinti kanajikuta kako busy na Simu kameweka...
Back
Top Bottom