Habari,
Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.
Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.
Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
adobe
app
apps
audio
biashara
dar
dar es salaam
free
graphics
je wajua
kazi
key
kitabu
kusikiliza
kusoma
mechanical
microsoft
microsoft office
office
pro
professional
software
speech
unatafuta
wajua
windows
windows 10
yako
HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA
1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe....
2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi.
3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na...
Habari!
Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana.
Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma
Wasiliana nami...
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
WAKATI UNATAFUTA MAISHA USISAHAU KUISHI
Endelea kupambana lakini usisahau yakua unapaswa kuayaishi maisha yako maana siku zikiisha kuhesabika na hazito rudi nyuma
Kadiri ya mda na siku zinavyo endelea kusogea basi na wewe unapunguza muda wako wa kuwapo hapa duniani hili ni suala ambalo liko...
Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara na unatafuta wawekezaji wa ndani au nje ya nchi, karibu tukupatie ushauri na fursa ya kuuza wazo lako kwa wawekezaji.
Pia ikiwa unatafuta masoko ya nje kwa bidhaa zako, pia tutakupa ushauri, muongozo na kukutafutia wanunuzi wa nje kwa bidhaa...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani.
Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.