Unguja (also referred to as "Zanzibar Island" or simply "Zanzibar", in Ancient Greek: Μενουθιάς, romanized: Menuthias - as mentioned in The Periplus of the Erythraean Sea) is the largest and most populated island of the Zanzibar archipelago, in Tanzania.
Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani.
Nilinasa picha hizi kwa mbali...
HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar.
Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...
UNGUJA imetejwa kuwa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao pamoja na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ikilinganishwa na Pemba.
Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Salum...
Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao.
Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni.
Sielewi ni kwa nini...
Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu.
Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo...
Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika kuleta maendeleo.
Makamu wa kwanza ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa.
Akizungumza kutokea...
Mambo ndiyo kama hivi wadau!
==========
Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.
Wote mnakaribishwa.
Maendeleo hayana vyama!
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea...
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba.
Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia rushwa ili kununua uongozi na kwamba wazanzibar watampendekeza Rais wanayemtaka kabla ya kupitishwa na...
CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu.
Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo Zanzibar na kisha litapelekwa Tume ya uchaguzi.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Natoa pongezi kwa RPC wa mkoa mjini magharibi unguja kwa kufanya kazi kwa weledi na kumfukuza kazi askari ambaye alimkamata mtuhumiwa na kumpeleka kwa wananchi wenye hasira na kisha kumuua mtuhumiwa.
Imekuwa ni tabia mbaya sana wananchi wamekuwa wanachukua sheria mkononi na kuua watuhumiwa bila...
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.
Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake
Zaidi. soma: Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.