Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private.
Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing.
Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998
Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history.
Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka.
Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe.
Mimi ningekuwa wakili...
Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi wanyama wa mwituni.....
Magaidi ya kijihadi kujinadi kwamba wao ndio wakali wa kufanya maunyama, ila...
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake:
2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini.
3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya wala Tanzania?
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye.
Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
Inashangaza sana kuwa binadamu sasa wamekuwa na roho za kinyama sana kwa sababu wanyama ndio ambao mwenzao akiliwa wanakuwa na msaada mdogo sana japokuwa kwa umoja wao wangeamua wangeweza kumuokoa.
Kinachotokea Gaza kinalingana sana na unyama.Kiwango cha vifo vya wapalestina na kujeruhiwa ni...
Haijalishi wewe ni muislam au lah lakini kama una akili za kutosha hauwezi furahia unyama walioufanya hamas. Jana tu tumepokea taarifa dogo wetu mtanzania ni kwamba hayupo tena na sisi.
Huyu prince ni mmoja wa waislam wachache ambao wamejitokeza kukiri ujinga wa hamas wengine wanajifanya...
Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake
kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale...
Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee?
Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
Walinzi wote wa Tundu Lissu
Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
Mzee Hashim...
akamatwa
asubuhi
bango
chadema
karatu
kesho
kufungwa
kukamatwa
lissu
nchi
nchi nzima
ofisi
picha
polisi
tamko
tanzania
tundu
tundu lissu
unyama
viongozi
wengine
Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc.
Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani.
Jamani, hivi...
Binadamu baadhi yetu wana wivu, chuki na roho mbaya inayowafanya kutumia njia zozote kuhakikisha jambo lao baya linafanikiwa.
Soma alichokisema mtoto huyu ambaye ni msanii kutoka Congo namna alivyopata upofu wakati alizaliwa akiwa anaona vizuri.
"Mimi sikuzaliwa kipofu, nilizaliwa naona kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.