unyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Ndoa za Kikristo: Mke anapoamua muwe na mtoto 1 tu, hataki kukupa unyumba, yupo mkoa wa mbali kikazi - suluhisho ni lipi?

    Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa. Haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa halafu anaenda kukutana vitu hivi kwenye ndoa. Mke kaamua awe na mtoto mmoja tu baada ya hapo...
  2. sky soldier

    mwanaume mkristo anaenyimwa unyumba, mke hawawezi shiriki tendo, kuhamishwa mkoa kikazi, na hurusiwi kuongeza mke, mnakabilianaje na hii hali

    Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo. Unakuta -Mke anakunyima game maksudi kabisa - Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa -Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma. .... Na hurusiwi ongeza mke. hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
  3. K

    Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

    Wasalamu wakuu. Ni hivi, huyu binti kanichosha. Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani hayo mi sitaki”. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
  5. Frumence M Kyauke

    Wanaume mkoani Shinyanga waangua kilio kwa madai ya kunyimwa unyumba na wake zao

    Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao. Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga...
  6. Nuraty J

    Anayedaiwa kumuua mkewe kwa kunyimwa unyumba, akamatwa

    WEDNESDAY AUGUST 18 2021 Moshi. Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na mgongoni kwa madai ya kunyimwa unyumba. Marehemu Fausta alikuwa na...
  7. Shujaa Mwendazake

    Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

    Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
  8. Huntsman

    Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

    Wana MMU, Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe. Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church...
Back
Top Bottom