Wana MMU,
Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.
Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church...