Herehoa!
Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala!
Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida!
Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono!
Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.
Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi.
=======
Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya.
Santus...
Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5
Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.
Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.
Hakika ipo siku...
Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana.
Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali.
Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini.
Leo hii...
Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti.
Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote.
Namna...
Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Wanabodi,
Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya
Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards...
Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao .
Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
Wanajukwaa Salaam!
Naomba niwaeleze snario iliyopo Polisi Wilaya ya Masasi Mkoa wa MTWARA.
Iko Hivi, tarehe 27 oct 2021 kulitokea tukio la kukamatana masuala ya ugoni.
Bwana J ndiye Mwenye Mke ambaye baada ya kumuona mkewe amebadilika kitabia na mienendo yake mibaya aliamua kumfuatilia kwa...
Pole sana Professa Assad.
Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
Waaungwana Kama heading inavyoonesha hapo juu.
TARURA amekuja na namna nyingine ya kukusanya ushuru wa Maegesho ya Magari, Mfumo huu Mpya ni wa kielektroniki na uko based on Control Number.
Nimefanya Research ndogo na kugundua kuwa Huu utaratibu mpya mbao ni Mzuri umegeuka kuwa ainia ya Wizi...
Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa.
Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama.
Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi.
Ni kweli kabisa...
Wakuu salaam!
Kama ambavyo iliasisiwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dr JPM kwamba kila siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi itumiwe na wananchi kwa ajili ya kufanya usafi katika maeneo yao yanayowazunguka.
Awali siku hii ya usafi ilizingatiwa na kupewa...
Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa.
Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu.
Inafahamika...
Je, kuna uonevu unaopitia katika nchi yako , ofisini, makazi au mahali popote?
Je, umewahi kuripoti katika ngazi zinazohusika lakini bado uonevu unaendelea?
Kama jibu ni NDIYO, Basi ujue kiongozi husika wa maeneo hayo aliyepewa mamlaka katika eneo hilo amepungukiwa na akili!
Ukiona Taifa...
Mzuka wanajamvi!
Kwa nini wambambikie kesi za uwongo Freeman Mbowe? Mtanzania mwenzako mnamtesa kisa he's practicing his political rights to express his opinion pertaining issues concerning national importance.
Why kumuonea mtu na kumweka ndani kisa tu kulinda madaraka zenu.
Muacheni huru...
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.