uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nasema uongo ndugu zangu?

    Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au zinamfanya ajiamini. ( a ) Ukiwa msomi walau shahada moja na kuendelea lakini...
  2. Uongo tulioaminishwa kuhusu fedha

    UONGO TULIOAMINISHWA KUHUSU FEDHA Nafahamu wengi wetu tumejaribu kwa namna mbalimbali kutafuta kanuni ya fedha. Hebu jiulize binafsi ni vitabu vingapi umesoma, semina ngapi umehudhuria, maombi mangapi umeomba, ushauri ngapi umefuata. Lakini huoni matokeo yeyote. Bado umestuck kwenye shughuli...
  3. M

    Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu...
  4. Unafiki na siajabu Uongo Gesi ya Rostamu kuzuiwa Kenya!

    Nimesoma mahali kwamba sijui hiyo inayoitwa gesi ya Rostamu kuzuiwa kuwekeza nchini Kenya, kwangu mimi huu ni usanii na naweza hata kwenda mbali kusema kwamba labda ni Uongo mkubwa na kuna vitu hawasemi. Raisi Samia na raisi wa Kenya wanaelewana sana na hata walikuwa pamoja juzi kati Arusha na...
  5. Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  6. Uongo mbaya sana wakati mwingine

    Jamani mkuje na mawazo ya kuokoa jahazi huku, nipo na jamaa yangu grosary flan hivi! Alikuja mitaa hii kumtembelea manzi wake, kwa bahati mbaya hakumkuta akaamua kujisogeza hapo grosary kupata moja moto moja baridi,, akiwa hapo mara akaingia mtoto mmoja mzuri sana yan huyo demu wake anaweza...
  7. Uongo gani mnatumia kuwarubuni wanawake?

    Nilishawahi mdanganya mwanafunzi IFM pale Kigamboni kwenye pantoni nasoma CPA kumbe ni darasa la Saba failure tu na kaingia kingi kweli ishu ilikuwa kakiomba kaje nikafundishe maana kalinambia kanasoma mambo ya banking balaa likua linaanzia hapo. Huu ndio uongo ambao nimewahi tumia na ukanilipa...
  8. Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  9. T

    Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

    Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania. Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
  10. M

    #COVID19 Uongo kuwa ukweli: Corona yenye ukubwa wa 0.1micrometer, tumeaminishwa kitazuiwa kupita kwenye barakoa yenye kitundu cha 5-100 micrometer

    Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa walipouaminisha ulimwengu kuwa, kuvaa barakoa kutamlinda mvaaji na maambukizi ya corona! Cha ajabu hata...
  11. Hivi unamjua huyo Eruc Oslon? Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ;

    Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ; - four star General, halafu was the tallest in the Navy SEAL (wakati huyo hapo mbele ya hao Russians andunjes anaoneka mufti - Olson anajulikana zaidi...
  12. N

    V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  13. Sifa za Uongo kwa Kibwana Shomari

    Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwana Shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba. Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana. Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa...
  14. J

    Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  15. Chanjo ya Covid ni uongo mtupu kwa viongozi wetu

    Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani. Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu. Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
  16. Serikali ingeondoa kodi zote kwa magari ya umeme

    Bei yamafuta inazidi kupanda. Maana yake nchi tutatumia pesa nyingi sana kununua mafuta. Pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengine ya kukuza uchumi. Nashauri serikali ifanye mambo yafuatayo ili tupunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya mafuta. 1.Tungeondoa kodi zote kwa wale wanaonunua magari...
  17. Pale Wajinga Wanaposhindwa Kutofautisha 'Ujinga' na 'Uongo'

    Kila tarehe moja mwezi wa nne kama leo huwa inatajwa kama ni siku ya Wajinga Duniani, ingawa si siku inayotajwa rasmi na Mamlaka za Nchi lakini Wananchi wake wamekuwa wanaziadhimisha kivyaovyao. Nimekuwa nikishuhudia na kugundua ya kuwa karibia asilimia 99 ya Watanzania huwa Wanawadanganya...
  18. Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

    Wanajanvi, Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli. Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli. Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi? Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta...
  19. Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  20. Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…