uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swali kwa Great Thinkers tu. Kama shetani ni baba wa uongo, kwanini kashindwa ku fake miujiza hii?

    Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga. 1. Bikira kupata mimba bila mwanaume 2...
  2. R

    Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  3. SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  4. Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  5. Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  6. Tunawatambuaje manabii wa uongo?

    Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,! Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct...
  7. Mabinti ndio sababu ya vijana wengi kusema uongo

    Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni: "Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali haraka kudate na kijana huyo. Lakini kama kijana huyo akisema yeye ni saidia fundi kwenye shughuli...
  8. C

    What do girls actually mean when they say “Sipendi uongo”?

    Morning folks.. What do ladies actually mean when they say;- Sipendi uongo Sipendi mwanaume muongo What kind of lies do they actually signify?
  9. Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

    Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu. Mimi binafsi 1. Shule Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa najifunza namna ya kujifunza. 2. Serikali Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu...
  10. Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

    Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto. Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo. Kwa mshangao, leo...
  11. Prof Lipumba acha kuongea uongo, hakuna mtanzania anayetaka kumkwamisha Rais Samia. Anajua kila kitu kuhusu DP world alishawakaribisha Ikulu 2021

    Lipumba acha kufumba macho. Hili dili Rais anajua kila kitu. Umesahau alishamkaribisha mmiliki wa DP world Ikulu.
  12. Naweza nikamtibu mpenzi akaacha uongo?

    Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia. Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba amekosean anahisi kama yuko katika nafasi ya haki kuongea alichoongea. Nifanyeje? Moyoni nampenda ila...
  13. F

    Uongo na upotoshaji unaosambazwa kuhusu ujio wa DP World Tanzania

    Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP...
  14. Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  15. N

    Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua? Hivi huyu hana management? Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
  16. Nani anaukumbuka huu uongo wa Serikali ya Samia?

    Leo ni siku ya mwisho ya mwezi Mei nani amepanda treni ya SGR?
  17. K

    Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
  18. Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  19. Mfanyabiashara afikishwa Mahakamani kwa kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA

    Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara. Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
  20. Dini hairuhusu watu kusema uongo

    Kumekuwa na matatizo kuhusu Nusra,mwanafunzi wa UDOM. Habari zinasema mwanamke alikufa kwenye ile ajali ya Waziri. Polisi inaelekea wanaleta obfuscation. Badala ya kusema maneno kuuzima huu uvumi once and for all Polisi wanaleta ubabaishaji. Hawataki kuyamaliza haya maneno. They are just...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…