Msanii Trey Songz anayekabiliwa na kesi ya madai ya Ubakaji, ameandika kupitia Insta Stories akisema "Uongo hautakuwa ukweli kamwe. Haijalishi nani anachagua kuamini hivyo", ikielezwa ni majibu ya tuhuma hizo dhidi ya mwanamke aitwaye Jane Doe.
Katika kesi hiyo, Jane amedai kuwa Trey alimwalika...