uovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu. Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
  2. S

    Wema unaofanya ukiwa Arusha kamwe hautafunika uovu uliofanya ukiwa Dar es Salaam!

    Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga kichwa kutokana na damu alizomwaga moja kwa moja au kuratibu mipango ya damu hizo kumwaga...
  3. Bams

    Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  4. Yoda

    Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  5. Bams

    LGE2024 Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa, Hakuna Kiongozi hata mmoja wa Serikali aliyewahi kutoa karipio Juu ya Uovu Uliokuwa Ukitendeka

    Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM. Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye jukumu la kutengeneza kanuni za uchaguzi, akatengeneza kanuni za hovyo kabisa, ikiwemo ile ya kifungo...
  6. J

    DOKEZO Uovu WA CBE kampasi ya Dar mwaka 2024

    Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali. Makosa haya yameathiri kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wanafunzi na ubora wa elimu inayotolewa. tuanze na 1. Uchaguzi...
  7. Yoda

    Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

    Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto? Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
  8. A

    KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali cha kuhama kwenye mfumo. Mbaya zaidi ukipiga simu TAMISEMI hata wao hawajui ni lini vibali hivyo...
  9. Bams

    Sheria nyingi zilizoundwa na CCM zimelenga kutengeneza mazingira ya kufanyika uovu

    Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa. Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma: 1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
  10. Bila bila

    Nchi ambayo serikali inafurahi kutenda uovu dhidi ya raia wake

    Hii si nchi ya kusadikika uliyoisoma kwenye kitabu cha Hayati Shaban Robert, wala si nchi ya Wagagagigikoko na Mfalme wake Huihui dikiteta aliyepigwa na mgeni Bulicheka na akapoteza ufalme. Hii ni nchi inayopatikana Afrika mashariki, kusini mwa jangwa la Sahara. Ni Muungano wa Tanganyika Huru na...
  11. Nigrastratatract nerve

    Ni muda sasa wa Cyprian Musiba Majula ameshinda, uovu ukimya wake umeshinda

    Musiba aliowatuhumu woote kwamba wanamhujumu Magufuli kwa kutaka kumpindua Magufuli na serikali yake alitwezwa na kubagazwa Sana lkn list yote aliyoitaja sasa iko nje ya Mfumo January Makamba Benard Membe (marehemu) Nape Nnauye Dulaa kinana hongera Sana Musiba yametikis January
  12. Kamanda Asiyechoka

    Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  13. Bob Manson

    Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

    Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho? Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
  14. Yoda

    Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

    Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
  15. Tlaatlaah

    Uovu usipokemewa na kudhibitiwa mapema hukomaa na kuwa haki

    Ni jambo gani ovu au si zuri kimaadili au kiimani, ambalo unalifahamu halikukemewa na kudhibitiwa vilivyo na sasa hivi jambo hilo linatetewa kana kwamba ni haki, hali ya kuwa halifai kulingana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania 🐒 Hebu ongeza unalokumbuka na kuliona mie naona hili la...
  16. ward41

    Uovu ndani ya Kanisa Katoliki

    Kwetu sisi tunaojuwa Historia ya kanisa katoliki, jambo la kuruhusu ushoga ndani ya kanisa halishangazi. Kanisa katoliki lilishaoza miaka mingi sana. Uozo wa kwanza uliaanza na mfalme Constantine aliporuhusu sanamu ndani ya kanisa (312 AD). Akaja tens Padri Terzel alipochapisha KADI kwa ajili...
  17. A

    DOKEZO Tuzo za Filamu zinazoandaliwa na Bodi ya Filamu zina mchezo mchafu

    Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia za kuwepo kwa upendeleo katika kuwapata washindi wa tuzo katika tamasha la Tanzania Film Festival...
  18. S

    Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu. Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua...
  19. Tajiri Tanzanite

    Mwanamke ndio kiumbe pekee aliyewahi kuonana na shetani uso kwa uso wakapanga uovu

    Hapo vip!! Kwanza nikaanzie kwa kusema mwanaume anayempenda mwanamke na muona nimshamba na hajitambui. Mimi sinto owa kwasababu siwezi kuishi na mwanamke...hiyo ndio salam. Vitabu vya dini vimeweka wazi yakwamba mwanamke tokea awali ni muovu kwasababu Biblia inasema katika bustani ya edeni ni...
  20. Ghost boss

    Binadamu alijipatia hekima ya uovu alipokula tunda

    BINADAMU ALIPOTEZA KILA KITU ALIPO ASI Binadamu alipoamua kuasi, alipoteza uwezo wote wa asili alio kuwanao, binadamu alikuwa mtawala wa kweli katika USO wa dunia, lakini alipoteza uweza wake kwa kuasi, ule Mti wa ujuzi wa mema na mabaya (kama unavyotajwa ujuzi) haukuwa mti wa kujipatia hekima...
Back
Top Bottom