Samia ni Rais na pia ni Mwenyekiti wa CCM. Hivyo chochote kinachofanywa na Serikali au CCM, kinamgusa moja kwa moja.
Kwa upande mwingine, sura ya CCM na Serikali, inabebwa na aina ya viongozi waliopo (serikalini na kwenye CCM), watu wanaoitetea na kuisifia kwa kila jambo serikalini na kwenye...
Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini.
Fikiria Mbowe kushindwa kufikishwa mahakamani, eti gari la kumpeleka mahakamani ni bovu! Na mama naye anaona...
Watanzania muda umefika wa kuweka pembeni tofauti zetu za kisiasa na badala yake tuungane kupinga uonevu na dhuluma.
Rais anasema watanzania wameridhika na tozo. Hakuna mtanzania aliyeridhika na tozo, tuungane tukatae kwa kauli moja hii dhuluma. Kama vyanzo vingine vya mapato hawavioni...
Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama kuchoma Shule “Atake asitake, ahudhurie hata kama hafanyii Mtihani”
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku...
Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa.
Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania.
Kauli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.