Habari za muda huu,
Kama kuna muajiri wa Airtel humu wahudumu wako ni hovyo kabixa yan unapiga simu wanaongea na mteja kama kuna ugomvi hasa wanawake ni hovyo kabisa ondoeni hizo takataka zinawaharibia kazi na kama mko humu mjirekebishe mnaharibu na kuchafua kazi za watu kama umechoka andila...