Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu.
Alikuwa na...
Najiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa...
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi.
Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila...
Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka.
Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati...
Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu.
Nilichokishuhudia kwenye hii...
Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved.
Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
Habari!
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote.
Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.