upandaji wa madaraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watumishi Halmashauri ya Kibondo tuna kero nyingi, tupewe elimu au kuambiwa ukweli kinachoendelea ili tusibaki na chuki rohoni

    Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi? Suala la kuhama kwenye mfumo, tupewe elimu na vigezo vya mtumishi kuhama na kusaidika namna nzuri bila...
  2. G

    JamiiForums Tanzania KERO Upandaji wa madaraja Singida DC viongozi wana janja janja kibao ambazo hazina tija

    Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…