A
Anonymous
Guest
Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi?
Suala la kuhama kwenye mfumo, tupewe elimu na vigezo vya mtumishi kuhama na kusaidika namna nzuri bila kumbugudhi kiongozi, zaidi ukiomba uhamisho unapewa maneno ya kejeli.
Posho za Likizo nalo limekuwa ni kero, wazo langu kuepusha huyu kupata na mwingine kukosa; basi iwekwe utaratibu kama zitaelekezwa kwenye eneo la kazi vifungu viwepo, kuliko kuipa halmashauri mzigo ambao tunabakia na chuki rohoni.
Mwisho since nime-report kazini hatujawahi kukaa na Kiongozi Mkuu wa Wilaya walau tuongee kero zetu ni kwenye makosa tu.
Ombi langu mtumishi aheshimiwe kama mtumishi na sio ombaomba kwenye maofisi ya Serikali.
Pia soma ~ Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi