upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. Richmoto Kushmoto

    Nezha Reborn: Animation bora kabisa kwa upande wangu

    Nezha Reborn ni animation hiii imetulia sana ina mkono sijapata ona kama uliona nezha part 1 basi hii si yakukosa
  2. herman joshua

    Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

    Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde? Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake. Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
  3. Meneja Wa Makampuni

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile. Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali. Tuzalishe...
Back
Top Bottom