upelelezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangazi dot com

    Show mpya ya OJ Simpson ni somo kubwa sana kuhusu makosa ya kizembe ya polisi na nguvu ya public perception

    Nani ameangalia show mpya ya OJ Simpson ya 2025 on Netflix? imefocus zaidi kwenye upelelezi, uwasilishwaji wa ushahidi mahakamani na influence ya media mbali na mambo mengine. Kuna somo kubwa la namna makosa ya polisi baada ya mauaji kutokea na court of public opinion na yanaweza kusababisha...
  2. dgombusi

    Nini Kinachowachochea Watoa Taarifa au Mawakala Kushirikiana na Mashirika ya Upelelezi?

    Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia? Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali. Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari...
  3. Jembe Jembe

    DPP lawamani kesi ya Mwekezaji kukaa mahabusu muda mrefu, hakimu acharuka ataka upelelezi uharakishwe

    Na Mwandishi Wetu, ARUSHA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mfanyabiashara na Mwekezaji Saleh Salim Alamry (54) na mwenzake wakili Sheck Mfinanga, kuharakisha upelelezi wa shauri hilo ili kesi ya msingi ianze kusikilizwa...
  4. Waufukweni

    Mnyika ashindwa kuripoti polisi wito wa upelelezi wa mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa kada wa chama hicho, Ali Kibao. Wito wa polisi ulitolewa Septemba 16, 2024 na Mkuu wa Upelelezi Mkoa...
  5. Roving Journalist

    Arusha: Afisa Upelelezi (Omary Mahita) akamatwa kwa tuhuma za kumvunja Mguu raia

    Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi. Askari huyo anatuhumiwa kumvunja mguu wa kushoto Peter Charles (21), mkazi wa Daraja II, jijini Arusha Juni 6, 2024...
  6. Idugunde

    Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

  7. P

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako. Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
  8. Webabu

    Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  9. BARD AI

    Upelelezi wakwamisha Kesi ya Watumishi TANESCO wanaodaiwa kuhujumu Tsh. Bilioni 2

    Ni Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Watumishi wa TANESCO Mkoa wa Mwanza, Abdukadri Lwassa (Fundi) na Respicius Rwegoshora (Afisa Bohari) imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi kutokamilika. Watumishi hao wanakabiliwa na mashtaka 125 yakiwemo ya Kughushi Nyaraka, Ubadhirifu wa Mali ya...
  10. BARD AI

    Dar: Upelelezi kesi ya Watumishi 16 waliopiga Tsh. Bilioni 8.9 za Halmashauri ya Jiji Wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili watumishi 16 wakiwemo wahasibu wa Jiji la Dar es Salaam umedai upelelezi umekamilika wanaandaa taarifa kwa ajili ya kuituma Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 143 likiwemo la kuisababishia hasara jiji hilo zaidi ya Sh8.9 bilioni...
  11. BARD AI

    Kesi ya Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi yafikisha siku 660 bila upelelezi kukamilika

    Upelelezi katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi na Mratibu wa Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) Edward Haule, bado haujakamilika. Mwakabibi na Haule, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  13. J

    Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

    Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa. Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
  14. BARD AI

    Upelelezi kesi ya uhujumu uchumi Sabaya ushahidi umekamilika

    Baada aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, mkoani Kilimanjaro kusota kwa takribani siku 302 rumande kwa kesi namba 2 ya hujumu uchumi pamoja na utakatishaji wa fedha upande wa Jamhuri umesema upelelezi umekamilika na kuomba tarehe ya karibu kwa ajili ya kufaili vibali. Akiwa...
  15. SIMULIZI RIWAYA

    THE MODERN WAR: Simulizi ya kijasusi mapenzi na upelelezi

    THE MODERN WAR (Vita ya kisasa) Sehemu ya.........01 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu...
  16. BARD AI

    Upelelezi kesi ya Mkurugenzi Jatu wakamilika

    Upande wa mashtaka wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa upelelele wa kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Sh5.1 bilioni, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya (32) umekamilika. Wakili wa Serikali, Jaribu Bahati ameieleza Mahakama...
  17. BARD AI

    Upelelezi kesi aliyekuwa mkurugenzi TPA wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake umedai kuwa upelelezi umekamilika na wapo kwenye hatua ya kuwasilisha nyaraka katika Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...
  18. BARD AI

    Mkuu wa Polisi (OCD) na Afisa Upelelezi Kilombero wasimamishwa kazi kwa Unyanyasaji

    Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana. Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri...
  19. SIMULIZI RIWAYA

    Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
  20. BARD AI

    TAKUKURU yakamilisha upelelezi dhidi ya Sabaya, kesi kutajwa tena leo

    Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika. Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
Back
Top Bottom