Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko.
Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu.
Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Akitoa ushahidi wa kesi ya Sabaya, Mkuu wa upelelezi amesema alipigiwa simu na aliyekuwa DC wa Arusha Kenani Kihongosi akiniarifu kuwa DC wa Hai ana watuhumiwa hapa Arusha hivyo nimpe ushirikiano.
Mara baada ya kufika ofisini kwangu akiwa na watuhumiwa wawili niliambiwa hawa ni wahujumu uchumi...
Kwenye jeshi la polisi kuna kitengo kinaitwa criminal investigation department kwa kimombo lakini kwa kiswahili wanaita kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai.
Swali langu ni kwa nini tafsiri ya investigation inakua upelelezi badala ya uchunguzi? Neno upelelezi limekaa kishambega, kiumbea...
Habari Wanajamvi,
Enzi za mwalimu kulikuwa na Uzalendo uliotukuka. Watanzania walikuwa makini na waadilifu katika shughulu zao.
Majasusi wawili kutoka Marekani na Israel CIA na Mossad walikuja nchini kupeleleza kwa kisingizio cha utalii na kuomba tour guide in advance.
Walipofika tu Dar Int...
Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi.
Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo...
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na...
Mwanzoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu, tulimwona Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa, akiongea na waandishi wa habari, akielezea tukio la kulazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mzee Mangula.
Katika taarifa yake hiyo alitutueleza...
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu...
MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha.
Rugemalira aliyaeleza hayo...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa...
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.