Upande wa mashtaka wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa upelelele wa kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Sh5.1 bilioni, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya (32) umekamilika.
Wakili wa Serikali, Jaribu Bahati ameieleza Mahakama...