Upelelezi wa kesi ya usafirishaji haramu wa binadamu inayomkabili Diana Bundala ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mwanza, imeelezwa leo Alhamisi, Aprili 14, 2022.
Zumaridi na wafuasi wake 83 wanakabiliwa pia na shtaka la kushambulia na kuzuia maofisa wa Serikali...