upendeleo zinaharibu taasisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma. Kauli hiyo aliitoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…